01
T9 / JUKWAA
T9 Smart Access
Soko la kidijitali linalowaunganisha wauzaji na wateja katika sehemu moja rahisi kufikia.
MFUMO WA T9
Vyombo vya habari, teknolojia na fursa zikifanya kazi pamoja kuwaunganisha watu na mawazo na hatua.
GUNDUA MFUMO WETU
01
T9 / JUKWAA
Soko la kidijitali linalowaunganisha wauzaji na wateja katika sehemu moja rahisi kufikia.
02
T9 / JUKWAA
Maarifa ya biashara, mawazo mapya na simulizi zinazofungua fursa.
Gundua jarida
03
T9 / JUKWAA
Mazungumzo yanayoshirikisha maarifa, malengo na watu wanaochochea maendeleo.
Sikiliza T9 Inspire
04
T9 / JUKWAA
Uzoefu wa bidhaa mubashara unaowawezesha wateja kuona, kuuliza na kugundua.
Tazama kipindi
05
T9 / JUKWAA
Fuatilia habari, taarifa na mazungumzo kutoka jumuiya ya T9.
Fuatilia T9
06
KWA NINI T9
Media ya kimkakati, usimulizi na mwonekano wa chapa.
Kutana na wawekezaji, wabunifu, watoa maamuzi na masoko.
Geuza mwonekano kuwa maulizo, ushirikiano na fursa za kibiashara.
Jiunge na matukio, makongamano, maonesho na mipango ya T9.
Pata maarifa, teknolojia na fursa zinazounda kesho.
$0.00
$0.00
$0.00
$0.00
$0.00
T9 LEO
Jinsi Tanzania inavyojiandaa kwa mustakabali imara na jumuishi wa uchumi.
Soma zaidiOPPORTUNITY PLUS
Biashara | Uwekezaji | Uongozi | Teknolojia | Utalii | Ubunifu
Soma toleo jipyaJUKWAA LA FURSA LA T9
Fursa halisi. Mahusiano halisi. Ukuaji halisi.
Gundua fursa
UFUNGUZI WA T9 MAGAZINESafari mpya inaanza.
Jiunge nasi katika uzinduzi rasmi wa T9 Magazine — sauti mpya katika biashara, culture, teknolojia, luxury na simulizi za Kiafrika.
Tukio hili maalum linaashiria mwanzo wa movement mpya ya media yenye lengo la kuhamasisha, kuunganisha watu na kuonyesha ubora mpya wa Afrika ya kisasa.
Pata nafasi ya kushuhudia mazungumzo yenye nguvu, networking, vision mpya na unveiling ya toleo rasmi la kwanza la T9 Magazine.
22 Mei 2026
Saa 3:00 Asubuhi
Central Park Cafe — Masaki, Dar es Salaam
Kuwa sehemu yake.
Pata hamasa.
Kuwa sehemu ya historia.JIFUNZE ZAIDI →
TANZANIA AFCON SMART ECOSYSTEMT9 AFCON 2027 Founding Partners Summit ni mkutano wa kimkakati unaolenga kuwakutanisha taasisi za serikali, wawekezaji, viongozi wa sekta binafsi, wabunifu, washirika wa maendeleo, wafanyabiashara na wadau mbalimbali ili kujenga mfumo imara wa fursa zinazotokana na AFCON 2027.
Mkutano huu unaangalia AFCON kama kichocheo cha maendeleo ya uchumi kupitia uwekezaji, utalii, miundombinu, teknolojia, hoteli, usafirishaji, fedha, afya, usalama, vyombo vya habari na ubunifu wa vijana.
Kwa pamoja tunajenga urithi wa kudumu utakaoinufaisha Tanzania kabla, wakati na baada ya AFCON 2027.JIFUNZE ZAIDI →
Maonesho ya Teknolojia Tanzania 2026Tanzania Tech Expo 2026 ni maonesho makubwa ya teknolojia yaliyoandaliwa na T9 Magazine, yakileta pamoja wabunifu, wahandisi, startups, viongozi wa biashara, na wadau wa teknolojia kutoka Afrika nzima. Tukio hili litaonesha teknolojia zinazoibukia katika Robotics, Mifumo Huru ya Kiotomatiki, Akili Bandia (AI), na Ubunifu wa vifaa vya kiteknolojia, pamoja na kutoa jukwaa la ushirikiano, mazungumzo ya maendeleo, na mustakabali wa ubora wa Afrika.JIFUNZE ZAIDI →
Tunashirikiana na mashirika makubwa ili kukuletea magazeti na maudhui bora.