Tanzania Tech Expo 2026 ni maonesho makubwa ya teknolojia yaliyoandaliwa na T9 Magazine, yakileta pamoja wabunifu, wahandisi, startups, viongozi wa biashara, na wadau wa teknolojia kutoka Afrika nzima. Tukio hili litaonesha teknolojia zinazoibukia katika Robotics, Mifumo Huru ya Kiotomatiki, Akili Bandia (AI), na Ubunifu wa vifaa vya kiteknolojia, pamoja na kutoa jukwaa la ushirikiano, mazungumzo ya maendeleo, na mustakabali wa ubora wa Afrika.