Rudi Kazi za Kidijitali
Limekamilika

May 22, 2026 10:00 - May 22, 2026 12:00

UFUNGUZI WA T9 MAGAZINE

CENTRAL PARK CAFE

Safari mpya inaanza.

Jiunge nasi katika uzinduzi rasmi wa T9 Magazine — sauti mpya katika biashara, culture, teknolojia, luxury na simulizi za Kiafrika.

Tukio hili maalum linaashiria mwanzo wa movement mpya ya media yenye lengo la kuhamasisha, kuunganisha watu na kuonyesha ubora mpya wa Afrika ya kisasa.

Pata nafasi ya kushuhudia mazungumzo yenye nguvu, networking, vision mpya na unveiling ya toleo rasmi la kwanza la T9 Magazine.

22 Mei 2026
Saa 3:00 Asubuhi
Central Park Cafe — Masaki, Dar es Salaam

Kuwa sehemu yake.
Pata hamasa.
Kuwa sehemu ya historia.

UFUNGUZI WA T9 MAGAZINE

Muhtasari Baada ya Tukio

Kilichotokea

Safari mpya inaanza.

Jiunge nasi katika uzinduzi rasmi wa T9 Magazine — sauti mpya katika biashara, culture, teknolojia, luxury na simulizi za Kiafrika.

Tukio hili maalum linaashiria mwanzo wa movement mpya ya media yenye lengo la kuhamasisha, kuunganisha watu na kuonyesha ubora mpya wa Afrika ya kisasa.

Pata nafasi ya kushuhudia mazungumzo yenye nguvu, networking, vision mpya na unveiling ya toleo rasmi la kwanza la T9 Magazine.

22 Mei 2026
Saa 3:00 Asubuhi
Central Park Cafe — Masaki, Dar es Salaam

Kuwa sehemu yake.
Pata hamasa.
Kuwa sehemu ya historia.

Usajili umefungwa kwa tukio hili.

Washirika Wetu

Tunashirikiana na mashirika makubwa ili kukuletea magazeti na maudhui bora.

Kuwa Mshirika wa T9Mag

Tunakaribisha taasisi zinazotaka kushirikiana na T9Mag na kufikia hadhira yetu.

Wasiliana Nasi