T9 AFCON 2027 Founding Partners Summit ni mkutano wa kimkakati unaolenga kuwakutanisha taasisi za serikali, wawekezaji, viongozi wa sekta binafsi, wabunifu, washirika wa maendeleo, wafanyabiashara na wadau mbalimbali ili kujenga mfumo imara wa fursa zinazotokana na AFCON 2027.
Mkutano huu unaangalia AFCON kama kichocheo cha maendeleo ya uchumi kupitia uwekezaji, utalii, miundombinu, teknolojia, hoteli, usafirishaji, fedha, afya, usalama, vyombo vya habari na ubunifu wa vijana.
Kwa pamoja tunajenga urithi wa kudumu utakaoinufaisha Tanzania kabla, wakati na baada ya AFCON 2027.