Maelezo ya Gazeti
"Mavazi ya kawaida (casual) ndiyo mtindo mpya wa maisha. Katika ulimwengu wa sasa unaoenda kasi, nguo zetu zinahitaji kuwa na uwezo mkubwa wa kubadilika kulingana na mazingira. Lengo ni kupata vazi linalokaa vizuri mwilini na kukuwezesha kutoka kwenye mkutano wa asubuhi hadi kwenye mitoko au matembezi ya jioni bila kulazimika kubadili nguo. Sasa hivi si suala la kuwa vizuri na kujisikia huru tu, bali ni kuwa mwepesi, kuonekana mtanashati na nadhifu, na kuwa tayari kubadili mfumo wako wa utendaji kwa papo hapo."
Mido Shariff
See what readers think and share your own feedback.
Login to rate this magazine or leave a comment.
IngiaTunashirikiana na mashirika makubwa ili kukuletea magazeti na maudhui bora.
Reader Comments
No comments yet. Be the first to comment.